Ingia / Jisajili

Twendeni Tukatoe

Mtunzi: Paulo Evance Manyika
> Mfahamu Zaidi Paulo Evance Manyika
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Evance Manyika

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Paulo Evance Manyika

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 33

Download Nota
Maneno ya wimbo

Tunyanyuke twende tukamtolee Mungu sadaka, tukamshukuru kwa mema na baraka zake. Twendeni twendeni tukatoe sadaka pia tukamshukuru kwa mema na baraka zake.

Mashairi

1. Wiki nzima ametulinda sisi wadhaifu sasa twendeni tukamshukuru

2. Mali nyingi katujalia tena nyingi Sana sasa twendeni tukamshukuru.

3. Kazi pia katujalia bila kustahili sasa twendeni tukamshukuru.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa