Ingia / Jisajili

Twendeni Tukatoe Sadaka

Mtunzi: Nestory .G. Mfaume
> Mfahamu Zaidi Nestory .G. Mfaume
> Tazama Nyimbo nyingine za Nestory .G. Mfaume

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Gerion Mdage

Umepakuliwa mara 241 | Umetazamwa mara 460

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twendeni tukatoe sadaka kwa Bwana×2 Vyote tulivyonavyo ni mali yake Bwana hivyo nasi inatupasa tuvirudishe kwake×2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa