Ingia / Jisajili

Uchungu

Mtunzi: Georges KANGIZILA
> Mfahamu Zaidi Georges KANGIZILA
> Tazama Nyimbo nyingine za Georges KANGIZILA

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Georges KANGIZILA

Umepakuliwa mara 43 | Umetazamwa mara 54

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
K/ Uchungu kama upanga umepenya moyo wangu. 1. Baba niliye mtegemea tena niliye mpenda Sana kifo kimemchukua. 2. Mama niliye mtegemea tena niliye mpenda Sana kifo kimemchukua. 3. Kaka niliye mtegemea tena niliye mpenda Sana kifo kimemchukua. 4. Dada niliye mtegemea tena niliye mpenda Sana kifo kimemchukua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa