Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 668 | Umetazamwa mara 1,992
Download Nota Download MidiTAZAMA BIKIRA
Tazama Bikira atachukua mimba naye atamzaa mwana nao watamuita jina lake Imanuel yaani Mungu pamoja nasi ..x2
1. Tengenezeni njia tayarisheni pito lake Bwana
2. Mabonde yafukiwe navyo vilima vyote visambazwe.
3. Dunia itaona salama na huruma yake Bwana.
4. Na watu wataona wokovu utokao kwake Bwana
5. Mioyo itakaswe wote tuwe tayari kumpokea
5. Na wote tutapata tulizo duniani kwa mkombozi