Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,352 | Umetazamwa mara 6,928
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka C
Kiitikio:
Ufurahi moyo wao, wamtafutao Bwana x 2. Mtakeni Bwana, na nguvu zake, utafuteni uso wake x 2.
Mashairi:
1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya, miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
2. Enyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo mteule wake.
3. Yeye Bwana ndiye Mungu wetu duniani mwote, duniani mwote mna hukumu zake.