Mtunzi: Mwita Isack
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwita Isack
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Godfrey Kinogo
Umepakuliwa mara 1,502 | Umetazamwa mara 3,655
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana, ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana. x 2
Mtakeni bwana na nguvu zake, utafuteni uso uso wake siku zote. x 2
Mashairi:
1. Zikumbukeni ajabu zake alizofanya, miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
2. Eenyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake, Ee nyi wana wa Yakobo wateule wake.