Ingia / Jisajili

Ufurahi Moyo Wao

Mtunzi: T.s. Raha
> Tazama Nyimbo nyingine za T.s. Raha

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,677 | Umetazamwa mara 12,413

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana x 2
Mtakeni Bwana na nguvu zake zote, Utafuteni uso wake siku zote

  1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya Bwana, miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
     
  2. Wazawa wa Abraham mtumishi wake wake Bwana, enyi wazawa wa Yakobo wateule wake.
     
  3. Yeye Bwana ndiye, yeye ndiye Mungu wetu sote, duniano mwote mna hukumu zake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa