Ingia / Jisajili

Uhimidiwe

Mtunzi: George Ngwagu
> Mfahamu Zaidi George Ngwagu
> Tazama Nyimbo nyingine za George Ngwagu

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: George Ngwagu

Umepakuliwa mara 228 | Umetazamwa mara 489

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Uhimidiwe wewe Mungu Mungu wetu wambinguni kwakua mambo unayotenda yashangaza ulimwengu. 2.Mambo yote tunayo shindwa wewe unayatatua uhimidiwe Ee Mungu wetu Milele hata milele Kiitikio Utukuzwe Bwana Uinuliwe Yesu Uhimi diwe Hakuna kamaa Wee. ukuu niwako Ewe Mungu wetu Uhimidiwe ahakuna kamawewe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa