Mtunzi: Zayumba,j
> Tazama Nyimbo nyingine za Zayumba,j
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Justin Zayumba
Umepakuliwa mara 602 | Umetazamwa mara 1,607
Download Nota (TZS 20) Download MidiSifa utukufu ni vyako wewe Bwana uhimidiwe kwa vinanda pia na zeze tunakuhimidi wewe. KIITIKIO E Bwana ( twakusifu) milele (mungu baba) tunaimba nyimbo nzuri za shangwe tukiikusifu wewe, E Bwana ( twakusifu) milele (mungu baba) tukicheza cheza kwa madaha kwako muweza wa vyote. MASHAIRI 1.Umenilinda bwana, na ajari mbalimbali hadi sasa ni mzima bwana nashukuru. 2.Nilipokuwa na njaa,ulinipa chakula nashukuru bwana asante sana