Ingia / Jisajili

Uhimidiwe Mungu.

Mtunzi: FRANCIS KAMAU NDUNG'U
> Mfahamu Zaidi FRANCIS KAMAU NDUNG'U
> Tazama Nyimbo nyingine za FRANCIS KAMAU NDUNG'U

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Francis Kamau

Umepakuliwa mara 56 | Umetazamwa mara 98

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UHIMIDIWE MUNGU. 1. Ni nani aliye mfano wa Bwana wetu Mungu aketiye juu, anyenyekeae kutazama mbingu na dunia. Humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha maskini kutoka jaani. KIITIKIO Pokea sifa na heshima na utukufu uhimidiwe Mungu, kutoka mawio ya jua na machweo yake uhimidiwe Mungu, Mungu uhimidiwe na usifiwe tangu leo na hata milele. 2. Enyi watumishi wa Bwana lisifuni jina lake, kwa kuwa yeye ni mkuu juu ya mataifa yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa