Ingia / Jisajili

Uje Bwana

Mtunzi: Sulla A.
> Tazama Nyimbo nyingine za Sulla A.

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 956 | Umetazamwa mara 3,236

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Uje uje Bwana (uje uje) Uje uje Bwana (uje Bwana) uje Bwana uje kutuokoa x 2

  1. a. Huishika kweli kweli milele, huwafanyia hukumu walioonewa.
    b. Huwapa wenye njaa chakula, Bwana Bwana hufungua waliofungwa.
     
  2. a. Bwana huwafumbua macho waliopofuka, Bwana huwainua walioinama.
    b. Bwana Bwana huwapenda wenye haki, Bwana Bwana huifadhi wageni.
     
  3. a. Huwategemeza yatima na wajane, Bali njia ya walio haki huipotosha.
    b. Bwana Bwana atamiliki milele, Mungu wako e Sayuni kizazi hata kizazi.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa