Ingia / Jisajili

Uje Roho Muumba

Mtunzi: Dionys R. Mbilinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dionys R. Mbilinyi

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,583 | Umetazamwa mara 14,520

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Uje Roho Muumbaji, utazame Roho zetu jaza neema za mbinguni, ndani ya viumbe vyako.

  2. Unaitwa mfariji, paji la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha uzima, moto, pendo, mpako, wa Rohoni.

  3. Mtoa wa vipaji saba na kidole chake Mungu, Mwahidiwa naye Baba, na msemesha ndimi zetu.

  4. Tia nuru akilini na upendo mioyoni, Tegemeza miili yetu kwa imara yakudumu.

  5. Ufukuze mashetani na amani tupe hima; Hivyo uwe kiongozi tuepuke ovu lote.

  6. Umjulishe kwetu Baba, tukamjue pia mwana, Tukakusadiki wewe, Roho na tokaye kwao.

  7. Atukuzwe Mungu Baba na Mwanawe Mufufuka, Pia Roho Mtakatifu kwa milele na milele Amina.

Maoni - Toa Maoni

Davdi Davdi msokele Apr 02, 2024
Vizuli

Aloyce Jul 12, 2022
Ninzuri

PETER MKONGWA May 20, 2018
Sweet melody (the responsorial one ), typical catholic tune, touching, humbling, blessing, please compose more, use your talent to the fullest, thanks to God for creating you and putting in you this talent...

Msafiri Kidunye Jul 02, 2016
Wimbo huu hunibariki sana.

Toa Maoni yako hapa