Ingia / Jisajili

Uko Wapi Mwokozi

Mtunzi: ZACHARIA WILBARD MAIKOBI
> Mfahamu Zaidi ZACHARIA WILBARD MAIKOBI
> Tazama Nyimbo nyingine za ZACHARIA WILBARD MAIKOBI

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Majilio | Mazishi

Umepakiwa na: ZACHARIA WILBARD MAIKOBI

Umepakuliwa mara 87 | Umetazamwa mara 142

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UKO WAPI MWOKOZI uko wapi mwokozi nakuita njoo kwangu niokoe, nafsi yangu yote inakulilia bwana unifariji)x2 1.Nafsi yangu yakuita uje kwangu, uje uniokoe mwokozi niwe nawe bwana wangu siku zote. 2. Umekuwa msaada siku zote za maisha yangu, wewe bwana nakungoja univushe kwenye vilindi. 3. Nirehemu bwana wangukwa maana mimi si mkamilifu kwako, nisamehe, nipokee niwe wako. 4. Moyo wangu wazimika kwa maana umekosa nuru yako wewe, niongoze mwokozi wangu nifike kwako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa