Ingia / Jisajili

Ukweli Utatuweka Huru

Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,548 | Umetazamwa mara 7,300

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Innocent Kulwa Musiba Sep 17, 2017
Napongeza watunzi wengi wa nyimbo za kikatoliki kwa kazi nzuri wanayoifanya. Mimi pia ni mmojawapo. Zaidi nawashukuru wanaoamua kuweka katika SMN ili kukuza na kusambaza neno la Bwana mahali pote. Nawasihi sana watunzi katika utungaji tusikurupuke sana tusije tukaharibu melodic yetu, kwani naona wengi tunataka kuvuruga melodic na nidhamu ya mziki was kikatoliki. Hivyo basi tunapikuwa kwenye kazi yetu tumwombe Mungu awe kiongozi. Pongezi zangu ziende kwa F.E.Nyanza, G.C.Mkude, Credo Mbogoye na wengine wengi kwa nyimbo zao nzuri za mafundisho zilizotulia. Bwana Mungu awabariki sana.

Toa Maoni yako hapa