Mtunzi: Julius Gotta
                                         
 > Tazama Nyimbo nyingine za Julius Gotta                 
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Julius Marco Gotta
Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 41
                    Wimbo huu unaweza kutumika: 
                                            - Antifona / Komunio Marehemu Wote
                                    
Kiitikio.
Ulale pema pe–poni upumzike kwa amani tutaonana Mbingunix2
Beti.
1.Ahimidiwe Mungu, mwenye kutoa na kutwaa.
2.Tumejifunza mengi, tutayaishi kukuenzi.
3.Siyo kilio bali, ni sherehe yako ya mwisho.
4.Umemaliza mwendo, daima tutakukumbuka.