Ingia / Jisajili

Ulimwengu Nilioutamani

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 351 | Umetazamwa mara 2,222

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Huo ndio ulimwengu nilioutamani ulimwengu wa furaha, ulimwengu wa amani ulimwengu wa upendo ulimwengu wa heshima, ulimwengu mtulivu, ulimwengu usio maradhi, unyang'anyi, uporaji x 2

  1. Tunaona nini leo sisi,  chuki na fitina vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  2. Tunaona nini leo sisi, vita na magonjwa vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  3. Tunaona nini leo sisi, ajali na vifo vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  4. Tunaona nini leo sisi, wizi unyang'anyi vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  5. Tunaona nini leo sisi, ulevi anasa vimetawala kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  6. Tunaona nini leo sisi, wajane yatima waongezeka kwa hawa watu wa ulimwengu.
     
  7. Tunaona nini leo sisi, rushwa ufisadi vimekithiri kwa hawa watu wa ulimwengu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa