Ingia / Jisajili

Ulimwengu Wote

Mtunzi: Paul Awet
> Tazama Nyimbo nyingine za Paul Awet

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 844 | Umetazamwa mara 2,196

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana ulimwengu wote katika uweza wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda awezaye kukupinga ukipenda x 2

  1. Wewe umeumba yote mbingu nayo nchi, na vitu vyote vilivyomo chini ya mbingu, ndiwe Bwana wa yote.
     
  2. Wewe hakika ni Mungu nikutumainiye, nitalitangaza jina lako kwa maana ni jema, nitakusifu daima.
     
  3. Wewe ujulikane kwa wale wenye haki, na una haki unenapo utoapo hukumu, nitakusifu milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa