Ingia / Jisajili

Uliwahifadhi Walioonewa

Mtunzi: A.Family
> Mfahamu Zaidi A.Family
> Tazama Nyimbo nyingine za A.Family

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Aloyce Family

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu kwa wema wako uliwahifadhi wote walioo..newa×2

1..Wenye haki watafurahi nakushangilia uso wa Mungu, Naam watapiga kelele, kelele kwafuraha mwimbieni Mungu lisifuni jina lake, furahini katika Bwana shangilieni mbele zake.

2..Baba wayatima namwamuzi wawajane Mungu yukatika kao lake takatifu,Mungu huwakalisha wapweke, wapweke nyumbani huwatoa wafungwa wakae hali yakufanikiwa.

3..Ee Mungu ulinyesha uulinyesha mvua ya Neema, urithi wako ulipochoka ulitutia nguvu kabila lako lilifanya kao lake huko Ee Mungu kwa wema wako uliwahifadhi walioonewa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa