Mtunzi: S. J. Simya
> Tazama Nyimbo nyingine za S. J. Simya
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 2,607 | Umetazamwa mara 6,707
Download Nota Download MidiS. J. SIMYA
Umeniita Bwana nipokee, nimeitikia wito niwe mtumishi wako milele, nimeitikia wito niwe mtumishi wako milele, Umeniita Bwana nipokee.
1. Umeniita Bwana kufanya kazi katika shamba lako uniongoze niwe mtumishi wako mwaminifu.
2. Ulisema: Ukitaka kunifuata ukubali kuacha yote, Nami nimekubali wito wako.
3. Bila wewe mimi siwezi kitu, Neno lako Bwana liniongoze.