Ingia / Jisajili

Umeuvika Mwaka

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 119

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Umeuvika mwaka taji ya wema wako (mapito yako yadondoza mapito yako yadondoza mapito yako yadondoza yadondoza unono)

1. Huyadondokea malisho ya nyikani na vilima vyajifunga vyajifunga furaha

2. Na malisho yamevikwa yamevikwa kondoo na mabonde yamepambwa yamepambwa nafaka

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa