Ingia / Jisajili

UMPOKEE MTUMISHI WAKO

Mtunzi: Ausebi Mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ausebi Mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ausebi Mwalongo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 1,455

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Ee Mungu Baba Umpokee mtumishi wako, katika kao lako takatifu.*2

MASHAIRI

  1. Wewe umekuwa makao yetu, kizazi baada ya kizazi.
  2. Ikiwa tulikufa na Kristu, tutaishi pamoja naye.
  3. Kumbuka kuwa tu wa mavumbini na mavumbini tutarudi.
  4. Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani.


Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa