Mtunzi: Prosper Kabume
> Tazama Nyimbo nyingine za Prosper Kabume
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Prosper Kabume
Umepakuliwa mara 28 | Umetazamwa mara 44
Download Nota Download MidiUmtolee Mungu sadaka yako x2 upendo wa Mungu hauishi tuwe na moyo wa thamani tena tujìtathimini wanadamu sadaka zetu ni hazina yetu.
MASHAIRI
1. Tukitafakari matendo ya Mungu tutalipa nini kwake.
2. Tunamiliki mali tena za gharama, tuthamini fadhila zake.