Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 298 | Umetazamwa mara 1,683
Download Nota Download MidiKiitikio: Katika shida za moyo wangu, unifanyie nafasi, nakunitoa nakunitoa katika shida zangu zote x 2.
Mashairi:
1. Uniangalie na kunifadhili, maana mimi nimkiwa na mteswa.
2. Utzame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi dhambi zangu zote.
3. Uwatazame adui zangu, maana ni wengi, wananichukia kwa machukio ya ukali.
4. Unilinde nafsi yangu na kuniponya, nisiaibike, maana nakukimbilia wewe Bwana.