Ingia / Jisajili

Unijulishe Mwisho Wangu

Mtunzi: William Paulo (TCS)
> Mfahamu Zaidi William Paulo (TCS)
> Tazama Nyimbo nyingine za William Paulo (TCS)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: William Paulo

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 148

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unijulishe mwisho wangu, na kiasi cha siku zangu, niutambue udhaifu wangu, nijue jinsi nilivyodhaifu x2 1. Nalisema, Nitazitunza njia zangu Nisije nikakosa kwa ulimi wangu; Nitajitia lijamu kinywani, Maadamu mtu mbaya yupo mbele yangu. 2. Ee BWANA, usikie maombi yangu, Utege sikio lako, usikie nikuitapo, Usinyamaze niliapo, maana mimi mgeni wako, Msafiri kama baba zangu wote. 3. Ee Bwana uniokoe na maasi yangu yote, usinifanye laumu ya mpumbavu, nimenyamaza sitafumbua kinywa changu, maana wewe ndiye uliyayafanya, uniachilie nikuchuke uso kabla sijaondoka nisiwepo tena.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa