Ingia / Jisajili

Unilinde Kama Mboni Ya Jicho

Mtunzi: Cellaphino Vitus Lubugo
> Mfahamu Zaidi Cellaphino Vitus Lubugo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cellaphino Vitus Lubugo

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 453 | Umetazamwa mara 1,684

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana unilindex2 kama mboni ya jicho bwana unifiche chini ya uvuli wa mbawa zakox2 1.Ee Bwana nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako usikilize neno langu. 2.Wasinione wasio haki wanaonionea, adui za roho yangu wanaonizunguka. 3.Wameukaza moyo moyo wako kwa vinywa vyao kwa vinywa vyao hutoa hutuoa majivuno. 4.Sasa wametuzuguka tuzunguka hatua zetu na kukaza macho yao eti watuangushe chini.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa