Mtunzi: Thomas Anthony
> Mfahamu Zaidi Thomas Anthony
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 177 | Umetazamwa mara 868
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Nifanye nini ili niepukane na dhambi X 2 Bwana ninaomba ee Mungu wangu nakuomba
unipe moyo wa kukupenda siku zote X 2.
MASHAIRI
1.Unipe nguvu niweze (kumshinda ) kumshinda shetanda, Ee Bwana nisaidie.
2.Unijalie moyo (wa huruma) wakuridhika na hali, (Ee Bwana) Ee Bwana nisaidie.
3.Baba nijalie Afya (afya njema) ya mwili na roho, (Ee Bwana) Ee Bwana nisaidie.
4.Unipe na moyo safi (moyo safi) niwapende ndugu zangu, (Ee Bwana) Ee Bwana nisaidie.