Ingia / Jisajili

Uniponye Roho yangu

Mtunzi: Guillaume Kibo

Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Kam's Swana

Umepakuliwa mara 151 | Umetazamwa mara 567

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio Uniponye roho yangu kwani nimekukosea Bwana Mungu 1. Heri mtu amkumbukaye mtu zaifu, Siku ya shida Bwana atamwokowa 2. Bwana atamlinda na kumtunzia uzima, atamjalia kuwa na heri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa