Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 623 | Umetazamwa mara 2,411
Download Nota Download MidiEe Bwana Ee Bwana unisaidie hima x2
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi, akaniinamia akasikia kilio changu
2. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, toka shimo la utelezi
3. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu usikawie