Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 493 | Umetazamwa mara 1,860
Download Nota Download MidiMashairi;-
1.Nichague Mimi Bwana nikutangaze wewe nyimbo nzuri watu wote wakujue wewe.
2.Unitume mini Bwana nikawafundishe watu mafunsisho yako watu wote wakujue wewe.
3.Nimeitika wito wako Bwana unitume nikawaongoze wote waliokupotea wewe.
4.Nitawaongoza watu wote waifwate njia yako watende Yale yakupendezayo wewe.
Kiitikio;-
Unitume Mimi Bwana Mimi niende kwa mataifa (kuwatangazia) nikatangaze neno lako ulimwenguni mwote.×2.