Ingia / Jisajili

Uniumbie Moyo Safi

Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Gereon Mmole

Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 28

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UNIUMBIE MOYO SAFI Kiitikio: Ee Mungu uniumbie moyo safi, uniumbie moyo safi x2 1. Ee Mungu unirehemu, sawasawa na rehema zako/ kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu/ unioshe kabisana uovu wangu, unitakase dhambi zangu. 2. Ee Mungu uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu/ Usinitenge na uso wako/ wala roho yako mtakatifu usiniondolele. 3. Unirudishie furaha ya wokovu wangu, unitegemeze kwa roho ya wepesi/ Nitawafundisha wakosaji njia zako/ na wenye dhambi watarejea kwako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa