Ingia / Jisajili

Upendo Wa Karamu Takatifu

Mtunzi: Ivan Reginald Kahatano
> Tazama Nyimbo nyingine za Ivan Reginald Kahatano

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Ivan Kahatano

Umepakuliwa mara 397 | Umetazamwa mara 2,434

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nimeonja pendo lako nkajua U mwema kwani watulisha na kutunywesha. Bwana Yesu atuita tujongee meza yake meza ya Upendo na Upatanisho.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa