Mtunzi: JULIUS MBOJE LUCAS
> Mfahamu Zaidi JULIUS MBOJE LUCAS
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: MBOJE LUCAS
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiAmri kuu ya upendo tupendane , upendo wa kristu ni upendo wa kweli amri kuu yasema tupendane tushirikiane tusaidiane kwenye shida na raha , upendo ukidumu huleta amani furaha pia afya ya aakili zitokazo juu na ziletazo uzima wa milele