Ingia / Jisajili

UPENDO WA KWELI

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 256 | Umetazamwa mara 871

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Upendo utuongoze sote kama Baba yetu alivyotupendax2 Tunaitwa wana wa MUNGU ( ndivyo tulivyo) sasa Upendo utokao kwake ( utuongoze) sasa Tuyatende yaliyo mema nyakati zote za maisha yetu, tukiongozwa na Upendo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa