Ingia / Jisajili

Upokelewe Mbinguni

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 120 | Umetazamwa mara 210

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Upokelewe mbinguni kwenye makao ya milele 1.Mungu akusamehe makosa yako akupe pumziko la milele 2.Tunashukuru kwa maisha yako uende salama kwake Baba 3.Tutakukumbuka ndugu yetu upumzike kwa amani ndugu yetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa