Ingia / Jisajili

Upumue Ndani Yangu

Mtunzi: A. Kazi
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Kazi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pentekoste

Umepakiwa na: Kazi Anselmi

Umepakuliwa mara 737 | Umetazamwa mara 1,807

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO;- Upumue ndani yangu Roho mtakatifu, nipate kuwaza matakatifu, unisukume ee Roho mtakatifu nipate kutenda matakatifu 1.Nivute kwa utamu, ee Roho mtakatifu, nipate kutenda matakatifu. 2. Naomba unitunze, ee Roho mtakatifu, nipate kutunza matakatifu. 3. Ukaniimarishe, ee Roho mtakatifu, nisiyapoteze matakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa