Ingia / Jisajili

Ushirika Ushiriki Na Umisionari

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 63 | Umetazamwa mara 151

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ushirika Ushiriki na Umisionari*2 Hivyo ndivyo tunapaswa kuishi ni Upendo (ni Amri) kuu ya MUNGU.*2 Tukishirikiana katika kutangaza neno la MUNGU mahari popote Dunia Tutampendeza MUNGU hiyo ndiyo Sinodi Sinodi ya kweli. Ushirika Ushiriki na Umisionari.*2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa