Ingia / Jisajili

Usifiwe ee Utatu Mtakatifu

Mtunzi: Melchoir Kavishe
> Mfahamu Zaidi Melchoir Kavishe
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchoir Kavishe

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Melchiori B. Kavishe

Umepakuliwa mara 800 | Umetazamwa mara 2,479

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Utatu Mtakatifu Wastahili Kusifiwa, ee Utatu Mtakatifu Wastahili Kutukuzwa, Milele na milele. 1. Usifiwe utatu Mtakatifu umoja usiogawanyika. 2. Utukuzwe ee Mungu Baba Mwana na Roho Mtakatifu. 3. Ee Bwana Mungu wetu jinsi gani ulivyo na Huruma kwetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa