Mtunzi: John Majja
> Tazama Nyimbo nyingine za John Majja
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti
Umepakuliwa mara 1,692 | Umetazamwa mara 3,945
Download Nota Download Midi1a). Usiku wa manane, amezaliwa mtoto,
b). Pangoni pa wanyama, amezaliwa mtoto.
Kiitikio
Wachungaji, walifika, kumsujudia mtoto, Malaika, wa mbinguni, wote waka mwimbia mtoto x2