Ingia / Jisajili

Ndiwe Sitara Yangu

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 630 | Umetazamwa mara 2,357

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ndiwe sitara yangu (Bwana wangu) wanihifadhi mimi (Wewe ndiwe) uzima wangu Mungu (Mungu wangu ndiwe) msaada wangu (na) nguvu zangu (Mungu) ninakukimbilia x2

1.Maisha yangu tawala Bwana leo na daima

   (kwako najitolea) Mfalme ndiwe daima utawale

2.Wakati wote nitakusifu ewe Mungu wangu

   (Bwana n’takuabudu) na ninaapa kukuimbia Wewe

3.Sote tuishi kwa kuongozwa na Roho wa Mungu

   (Roho Mtakatifu) mfano bora na tuwe kwa wenzetu

4.Bwana tukinge nayo magonjwa na majanga pia

   (utujalie nguvu) na ushupavu tueneze Injili


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa