Ingia / Jisajili

Usitoe Mimba

Mtunzi: Georges KANGIZILA
> Mfahamu Zaidi Georges KANGIZILA
> Tazama Nyimbo nyingine za Georges KANGIZILA

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Georges KANGIZILA

Umepakuliwa mara 55 | Umetazamwa mara 76

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
K/ Enyi mabinti,enyi mabinti,enyi mabinti epukeni,epukeni,epukeni kutoa mimba 1.Enyi mabinti,enyi mabinti,enyi mabinti kwanini mwaviua viumbe vyake Mungu ? 2. Hivyo viumbe munavyo angamiza vingegeuka kua watawa ao viongozi wa kesho 3.Msitoe tena mimba enyi binti wapenzi lakini ogopeni kufanya usharati

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa