Ingia / Jisajili

Utenzi Wa Ushindi

Mtunzi: Steven H. Mnyonge
> Mfahamu Zaidi Steven H. Mnyonge
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven H. Mnyonge

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Steven Mnyonge

Umepakuliwa mara 215 | Umetazamwa mara 462

Download Nota
Maneno ya wimbo
Nakupenda e Mwenyezi Mungu nguvu zangu na ngao yangu,wewe Ni Mungu usiyeshindwa wewe wa stahili sifa na heshima .Umejaa nguvu na uweza wakuyashinda mabaya yote ,wewe Ni Mungu usiyeshindwa(na kitu) wewe wastahili sifa na heshima. Nitakuambia sifa jina lako tukufu wewe ni Mungu usiyeshindwa wewe wastahili sifa na heshima. Nitazitangaza sifa na ukuu wa jina lako wewe ni Mungu usiyeshindwa wewe wastahili sifa na heshima. Mashairi. 1:Nalimwita bwana katika shida zangu akaniitikia bwana akaifungua mikono na kuniokoa. 2:Bwana huwapiga adui zangu wote yeye ni Mungu aliyehai, Yeye ndiye Mungu asiyeshindwa na kitu. 3:Bwana alinitendea sawa na haki yangu,akanipeleka panapo nafasi akaziimarisha hatua zangu juu ya mwamba imara sitatikisika.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa