Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Samwel Abado
Umepakuliwa mara 960 | Umetazamwa mara 3,515
Download Nota Download MidiKiitikio:
Utii, umasikini na usafi wa moyo x2
Hizo ni nadhiri zangu naweka, nadhiri za-ngu na weka x2
Mashairi:
1. Nayatoa maisha yangu kwa Bwana, anijalie unyenyekevu, niitende kazi yake kwa uaminifu
2. Nijalie niwe mwaminifu, niyaache yale yote, niyaache yote kwa upendo wa Kristo
3. Nijalie Roho Mtakatifu, anijaze nguvu ya ki-Roho, niitende kazi yako kwa moyo mkunjufu