Mtunzi: Fr. Joseph Mosha
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 737 | Umetazamwa mara 2,839
Download Nota
Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio
Kwa utii wako Mama Maria (Mama Mwema), Kwa utii wako Mama Maria (Mama Mwema), umetuletea mkombozi, mkombozi, umetuletea mkombozi wa ulimwengu x 2
Mashairi
-
Ndimi mtumishi wa Bwana nitendewe ulivyonena, ni maneno ya utii, utii wako Mama, tunasema asante, twashukuru, kwa kutuletea mkombozi wa ulimwengu.
-
Tuombee sisi, tuombee sisi wanao fadhila ya unyenyekevu, tupokee ujumbe wa neno la Mungu, tutangaze Injili ya Mwokozi, tuwe kweli, tuwe kweli vyombo vya umisionari.