Ingia / Jisajili

Utuhurumie Bwana

Mtunzi: Severine Mpanda
> Mfahamu Zaidi Severine Mpanda
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine Mpanda

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Peter Mpanda

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 37

Download Nota
Maneno ya wimbo
UTUHURUMIE BWANA Tumekosa utuhurumie Bwana×2, Utuhurumie kwa kuwa sisi tumetenda dhambi Bwana utuhurumie, Utuhurumie ×2. Mashairi. 1. Ee Mungu unirehemu sawa sawa na fadhiri zako, kiasi cha wingi wa fadhiri fadhiri zako uyafute makosa yangu uyafute. 2. Maana mimi mwenyewe nimeyajua makosa yangu, nimeyajua makosa yangu na dhambi yangu dhambi yangu imbele yako Mungu wangu. 3. Ee Mungu uniumbie uniumbie Moyo safi, nauifanye upya Roho iliyotulia ndani yangu unitakase dhambi zangu
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa