Ingia / Jisajili

Utukufu

Mtunzi: Paskal Ogaga
> Mfahamu Zaidi Paskal Ogaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Paskal Ogaga

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Paskal Ogaga

Umepakuliwa mara 882 | Umetazamwa mara 3,329

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UTUKUFU

Imba utukufu kwa Mungu juu, utukufu uwe kwa Mungu juu, amani kwa watu duniani, kwa watu wenye mapenzi mema x2 Tunakusifu Baba tunakuheshimu, twakuabudu Baba tunakutukuza x2

  1. a) Twakushukuru Mungu kwa tukufu wako mkuu mwana wa pekee Mwana wake Mungu

b) uondoaye dhambi za dunia, uthurumie utusikilize pokea ombi letu

  1. a)Unayeketi kuume kwa Baba wewe pekee yako, wewe pekee yako ndiwe yesu kristu

b)pamoja na roho mtakatifu, katika tukufu wako siku zote milele na milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa