Ingia / Jisajili

Uturehemu Ee Bwana

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,430 | Umetazamwa mara 4,084

Download Nota
Maneno ya wimbo

Uturehemu ee Bwana kwa kuwa tumetenda dhambi, kwa kuwa tumetenda dhambi x 2.

  1. Ewe Mungu nirehemu  sawasawa na fadhila zako kiasi cha wingi  wa rehema zako uyafute makosa yangu.
     
  2. Nimetenda dhambi ee Bwana , nimetenda yakusikitishayo unihurumie ewe Mungu wangu.
     
  3. Ninayakiri makosa yangu nimekukosa wewe pekeyako nayo. dhambi yangu  iko mbele yangu.
     
  4. Unihurumie ewe Mungu wangu ninaya jutia makosa yangu yote ewe Mungu wangu, nihurumie ewe Mungu wangu. 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa