Mtunzi: David Ihiwi
> Tazama Nyimbo nyingine za David Ihiwi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: polycarp kindole
Umepakuliwa mara 937 | Umetazamwa mara 3,097
Download NotaUturehe ee Bwana, ee Bwana kwakuwa tumetenda dhambi X2
1.Ee Mungu unirehemu sawasawa, sawasawa na fadhili zako ee Bwana.
2.Kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu ee Bwana.
3.Unioshe kabisa uovu wangu, unitakase dhambi zangu ee Bwana.