Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwape Amani

Mtunzi: Br. Theodul Lyakurwa Ofm Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Theodul Lyakurwa Ofm Cap.

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,295 | Umetazamwa mara 3,406

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana uwape amani ee Bwana uwape amani uwape amani wakungojao Ee Bwana ili watu wawasadiki manabii wako x 2

  1. Ee Bwana uisikilize sala yao wakuombao, sawasawa na kibali chako kwa watu wako.
     
  2. Na wote wakaao duniani watajua, watajua yakwamba wewe ndiwe Bwana Mungu wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa