Mtunzi: Agapito Mwepelwa
> Mfahamu Zaidi Agapito Mwepelwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Agapito Mwepelwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakuliwa mara 1,311 | Umetazamwa mara 3,154
Download Nota Download MidiUWE KWANGU MWAMBA.
Uwe kwangu Mwamba, wa -wo -kovu, /: Nyumba yenye maboma, nyumba yenye maboma yakuniokoa:/.
Mashairi.
1.Ndiwe genge langu, na ngome yangu, kwaajili ya Jina lako, uniongoze unitunze.
2.Utanitoa, katika wavu, kwa maana wewe ndiwe Ngome yangu na genge la - - -ngu.
3.Mwamba wenye nguvu, ulio juu, ya miamba, miamba yote, hautatikisika milele.