Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,561 | Umetazamwa mara 13,042
Download Nota Download MidiKiitikio:
Uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa ndiwe genge langu na ngome langu, kwaajili ya jina lako uniokoe unichunge
Mashairi:
1.Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako unipomye uniokoe hima
2.Utanitoa katika mtego walionitegea kwa siri maana wewe Bwana ndiwe ngome yangu.